WAISLAMU / WAUMINI WA MWANZO

Natija ya ulinganiaji wa siri wa Bwana Mtume –Rehema na Amani zimshukie – ilikuwa ni kuingia katika uislamu baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki zake na kuwafanya ndio waumini wa…