VITA VYA UHUD-MAKURAYSHI WAANZA KUJIANDAA KWA AJILI YA VITA

Fikra waliyokuwa wakiifanyia kazi makurayshi tangu kumalizika kwa vita vya Badri.  Ilikuwa ni kukusanya nguvu zake zote, kwa lengo la kuelekeza pigo la kuvunjavunja  litakalommalizia mbali Bwana Mtume na maswahaba…