UTUKUFU WA NAFSI / KUJITHAMINI

Uislamu unamtaka muislamu ajithamini mwenywe kabla ya kudai kuthaminiwa na jamii. Yeye mwenyewe aseme kauli au atende matendo yatakayompa thamani na daraja mbele ya Mola Muumba wake, Mtume wa Allah,…