UTANGULIZI

1) MAANA YA ADHANA:  Adhana ni neno la Kiarabu lenye maana mbili; maana ya kilugha na maana ya kisheria (kifiq-hi). Kilugha neno adhana lina maana ya “tangazo” kama lilivyotumika ndani…