SIJIDA SAHW

SIJIDA YA KUSAHAU (SIJIDATIS–SAH–U).  AINISHO/MAANA YA KUSAHAU: Neno “Kusahau” lina maana mbili kama ifuatavyo:- I .  KUSAHAU KILUGHA: Katika lugha ya kawaida kusahau kunamaanisha kupoteza kumbukumbu za kitu/jambo au kughafilika…