UPINZANI WA MAKURAISHI DHIDI YA MTUME

Uislamu ukazidi kusambaa katika mji wa makkah na khabari zake kuenea pande zote za mji huo, na watu wakaingia katika uislamu makundi kwa makundi. Hapa ndipo Mtume-Rehema na Amani zimshukie…