UNYENYEKEVU

Unyenyekevu unapatikanaje ndani ya swala? Huoni kuwa ni upeo wa unyenyekevu usio ni mithali pale muislamu anapokiweka mavumbini kiungo chake kitukufu “Uso” kumsujudia Mola wake. Tena wakalingana sawa katika unyenyekevu…