IV) AINA ZA NAJISI NA JINSI YA KUZIONDOSHA

Najisi kwa mtazamo wa sheria zimegawanywa katika aina tatu zifuatazo : NAJISI NZITO : Hii ni najisi ya mbwa na nguruwe na mnyama aliyezaliwa kutokana nao au mmoja wao (mbwa…

HADITHI YA WIKI (JUMA LA 63)

“Hakika katika jumla ya alama za Kiyama, ni kuondoshwa kwa elimu na kuthibiti kwa ujinga (mahala pake), kukithiri kwa unywaji wa pombe na kutapakaa kwa zinaa”. Bukhaariy [01/08]

KATAZO LA WIKI (JUMA LA 63)

Ni mizani gani inayo kufanya ukipe nafasi kubwa na ya kwanza kile utakacho kiacha na kile kitakacho kuwa na wewe popote pale utakapo kuwepo unakipa nafasi ndogo na ya mwisho?!…

SWALI LA WIKI (JUMA LA 63)

SWALI: Naomba kujuzwa, jina la Mtume wa Allah; Muhammad-Rehema na Amani zimshukie-limetajwa mara ngapi ndani ya Qur-ani Tukufu? JIBU: Jina “Muhammad”-Rehema na Amani zimshukie-limetajwa mara nne ndani ya Qur-ani Tukufu,…

KATAZO LA WIKI (JUMA 59)

Wewe huna matendo mema, basi kwa nini hujitahidi angalau kuwapenda watu wema?! Kwani hujui ya kwamba ukiwapenda watu wema, utatiwa katika kundi lao hata kama huna matendo mema kama yao?!…

RAMADHANI 1442-JUKWAA LA 05

“WAISLAMU TUNAPASWA, TENA KWA NJIA YA WAJIBU, KUIJUA THAMANI YA MSIMU HUU WA KIROHO ILI TUFAIDIKE NAO” Sifa zote njema na takasifu ni zake Allah; aliye juu na Mkuu ambaye…

MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA.

Kuhimidiwa na kutukuzwa kunamstahikia Allah; Mola Mlezi wa viumbe wote, ambaye ametuneemesha kwa neema ya Imani na Uislamu. Na Rehema na Amani zimuendee Bwana wa ulimwengu; Mtume wetu Muhammad. Na…

KUUWAWA KWA MUHAMMAD, MTOTO WA SAYYIDNA ABUBAKARI

Ulipo wadia mwaka wa thelathini na nane, Muawiyah akamtuma Amrou bin Al-Aaswi kukiongoza kikosi cha askari elfu sita, kwenda Misri. Amrou akaenda mpaka akapiga kambi katika nyanda za chini za…

BARA ARABU WAKATI WA MTUME WAKAZI WAKE

Bara Arabu lipo upande wa kusini wa Bara la Asia. Bara hili ndilo makazi ya Waarabu tangu kale na mpaka sasa kinaishi humo kizazi cha Waarabu. Maelfu ya miaka Waarabu…

HUKUMU YA SHERIA YA KIISLAMU

HUKUMU YA SHERIA KATIKA FIQHI Baada ya kuona faida na umuhimu wa fiq-hi hatuna budi kujua hukumu ya sheria katika elimu hii. Kila elimu katika Uislamu ina hukumu yake, elimu…