NEMBO (MAMBO MATUKUFU) NA DESTURI ZA UISLAMU ZINASISITIZA

THAMANI YA WAKATI…II         Fardhi za kiislamu na desturi za Uislamu zimekuja kuthibitisha thamani ya wakati na kuijali kila hatua na sehemu ya wakati. Fardhi na desturi hizi zinaamsha aina fulani…