UMUHIMU WA WAKATI KWA MUISLAMU I

Wakati ni suala lenye umuhimu wa pekee katika maisha ya muislamu. Umuhimu huu unatokana na mtizamo wa Uislamu kwa wakati kuwa ndio maisha/uhai wenyewe. Kwani hizi sekunde,dakika, saa, siku,juma,mwezi na…