UKATIKATI WA MATUMIZI (KUTOFANYA UBADHIRIFU)

Chimbuko la somo letu la leo ni kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu ndani ya Qur-ani Tukufu “……….WALA USITAWANYE (mali yako ) KWA UBADHIRIFU HAKIKA WATUMIAO KWA UBADHIRIFU NI NDUGU WA…