UFUMBUZI WA MTUME KATIKA MZOZO WA UWEKAJI WA “HAJAR ASWAD”

Watu wa Makkah walipoona kwamba jengo la nyumba ya Mwenyezi Mungu “Al-Kaaba” limeanza kuonyesha nyufa na kubomoka, viongozi wao waliona kuna umuhimu wa kuibomoa nyumba hiyo na kuijenga upya. Hivyo…