TASHAHADU YA MWISHO {KATIKA KIKAO CHA MWISHO}

Ni wajibu kwa mwenye  kuswali akae  baada  ya sijda ya  mwisho ya swala yake asome “Tashahudi”  imepokelewa katika riwaya ya Ibn  Masoud Allah amuwiye radhi – amesema : Tulikuwa tukisema…