TAMKO LA IQMA

Lifuatalo ndilo tamko kamili la iqaamah kama lilivyothibiti katika hadithi nyingi sahihi zilizopokelewa na maimamu Bukhaariy, Muslim na wengineo:   ALLAAHU AKBAR ALLAAHU AKBAR, ASH-HADU AN LAA ILAAHA ILLAL-LAAH, ASH-HADU…