SWALA NI WAJIBU KWA NANI?

Swala imemuwajibikia kila Muislamu aliyebaleghe (mkubwa) mwenye akili timamu. Zitakapopatikana na kutimia kwa mtu sifa tatu hizi:-        1.         Uislamu.        2.         Kufikia baleghe (ukubwa) na        3.         Akili timamu.…