SUNNA ZILIZO KABLA YA SWALA

Haya ni mambo ambayo mwenye kuswali anatakiwa kuyatenda kabla hajaingia ndani ya swala, haya hayazidi mambo matatu ambayo ni: (i)   Adhana (ii)  Iqaamah. Inshaalah, tutazielezea adhana na Iqaamah kwa ufafanuzi wa kutosha…