SUNNA ZA ADHANA

Kumesuniwa katika adhana kufanya mambo yafuatayo:- 1. KUELEKEA QIBLAH: Ni suna muadhini kuelekea Qiblah wakati wa kuadhini, kwa sababu bora ya pande za kuelekewa kwa ajili ya ibada ni upande…