SOMO LA TATU – HALI YA BARA ARABU WAKATI WA KUPEWA UTUME MUHAMMAD – Rehema na Amani zimshukie.

“SIRA YA MTUME WA ALLAH; FALSAFA NA MAFUNDISHO YAKE” Naam, kwa mara nyingine tena, Mola wetu Mtukufu anatukutanisha katika darasa letu la Sira, ili litusaidie kumjua Mtume wetu na dini…