SIJIDA MSOMO

Ni suna thabiti kutoka kwa Bwana  Mtume–Rehema na Amani zimshukie–kusujudu  sijida ya msomo. Suna hii inawahusu wote  wawili; msomaji wa Qur-ani na msikilizaji, iwe ni ndani ya  swala au nje…