Baada ya kushindwa kwa majeshi shirika (Ahzaab) na kushindwa kwa Mayahudi wa Baniy Quraydhwah, Waarabu walianza kuwa na mtazamo mpya kuielekea Da’awah. Ikawapitia fikra kwamba wimbi hili la Da’awah ya…
Category: SHARTI ZA KUWAJIBISHA SWALA YA IJUMAA (WANAOWAJIBIKIWA NA IJUMAA)
SHARTI ZA KUWAJIBISHA SWALA YA IJUMAA (WANAOWAJIBIKIWA NA IJUMAA)
Swala ya Ijumaa kwa mujibu wa sheria ni wajibu kwa mtu ambaye zimepatikana kwake sharti saba zifuatazo:- Uislamu: Swala ya Ijumaa ni wajibu kwa muislamu tu na wala haimuwajibikii kafiri…