SHARTI ZA KUSIHI ADHANA

Ili adhana iweze kusihi na kuzingatiwa kisheria kuwa ni adhana kumeshurutizwa kupatikana sharti zifuatazo:- 1. UISLAMU: Kisheria haisihi adhana kwa kafiri kutokana na kutokuwa kwake na utayarifu/ustahiki wa ibada (ahliyah).…