SHAMBULIZI LA SAWIYQ

MAKURAYSHI WAFANYA JARIBIO LA KUREJESHA HESHIMA YAO ILIYOPOTEA KWA KUSHINDWA KWAO KATIKA VITA VYA BADRI.  Ulipoingia mwezi wa Dhul-Hijjah (Mfunguo wa tatu) yaani baada ya kupita takriban miezi miwili na…