IBADA YA ITIKAFU

MAANA YA ITIKAFU: Kilugha neno “Itikafu” lina maana kuu mbili, kama zifuatazo: Kuzuia, na Kukaa. Kisheria “Itikafu” ni: Kitendo cha kukaa msikitini kwa mfumo maalumu uambatanao na nia ya kujikurubisha…