MINBARI YA RAMDHANI NA KHUTBA YA MTUME KATIKA KUUKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI :

Jueni na eleweni enyi ndugu zanguni Waislamu kwamba Mwenyezi Mungu Mtukufu amejaalia mafanikio ya duniani ni ya muda mfupi, yenye kwisha na kuondoka, na mafanikio ya akhera ndiyo yenye kusalia/kubakia…