SAFARI YA ISRAA

Mwaka   wa huzuni  ambamo Mtume  aliipoteza  mihimili  yake miwili; muhimili wa ndani, mkewe  Bi Khadijah  na Muhimili  wa nje Ami  yake Mzee Abuu  Twaalib; Upasito wa   watu wa Makkah na…