SABABU ZA SIJIDA SAHW NA NAMNA YA KUISUJUDU

SABABU ZA  SIJIDA YA KUSAHAU: Mambo yafuatayo ndio yatakayo mpelekea mwenye kuswali  kuleta sijida ya  kusahau: 1. Mwenye kuswali kuacha  mojawapo  miongoni  mwa suna za swala zinazoitwa “Ab-aadh”, mithili ya…