“RAMADHANI IMESHA KWENDA ZAKE, SASA NI FURSA YA KUFAIDIKA NA MAFUNDISHO YAKE”

“RAMADHANI IMESHA KWENDA ZAKE, SASA NI FURSA YA KUFAIDIKA NA MAFUNDISHO YAKE” Hakika sifa zote njema ni stahiki na milki yake Allah ambaye Yeye ndiye Mkusudiwa wa kila jambo, hakuzaa…

RAMADHANI HIYOOO INAKWENDA ZAKE, EWE MUISLAMU

Mstahiki wa kuhimidiwa na kutukuzwa ni Allah; Mola Muumba wetu aliye tuambia katika kitabu chake kitukufu: “Hawawi sawa watu wa motoni na watu wa peponi. Watu wa peponi ndio wenye…

“LAILATUL-QADRI NI BORA KULIKO MIEZI ELFU MOJA”

Sifa na Shukurani zote njema ni zake Mola Muumba wetu ambaye Yeye ndiye aliyesema: “Hakika Sisi tumeiteremsha Qur’ani katika Lailatul-Qadri, usiku wa cheo kitukufu. Ni nini kitacho kujulisha Lailatul-Qadri? Lailatul-Qadri…

MAKALA MAALUM – VITA VYA BADRI

VITA VYA BADRI-IJUMAA, RAMADHANI 17/02 A.H. {13th MARCH/624 A.D.}Allah Mtukufu anasema:“NA ALLAH ALIKUNUSURUNI KATIKA (vita vya) BADRI, HALI NYINYI MLIKUWA DHAIFU. BASI MCHENI ALLAH ILI MPATE KUSHUKURU (kila wakati kwa…

RAMADHANI 1442-JUKWAA LA 06

“MWEZI WA RAMADHANI, ZIMO NDANI YAKE NEEMA ZA ALLAH KWA WAJA WAKE ZISOZO HESABIKA WALA KUDHIBITIKA” Sifa zote njema anastahiki Allah ambaye ametuongoza katika dini hii na hatungekuwa ni wenye…

RAMADHANI 1442-JUKWAA LA 05

“WAISLAMU TUNAPASWA, TENA KWA NJIA YA WAJIBU, KUIJUA THAMANI YA MSIMU HUU WA KIROHO ILI TUFAIDIKE NAO” Sifa zote njema na takasifu ni zake Allah; aliye juu na Mkuu ambaye…

Tujiandae na ramadhan

“HUJACHELEWA, ANZA LEO KUJIANDAA KUUPOKEA MWEZI WA RAMADHANI NA KUIPATILIZA FURSA HIYO YA MWAKA HATA MWAKA” Sifa zote njema na takasifu ni zake Allah; Mola Mlezi wa viumbe vyote ambaye…