SOMO LA KUMI NA SABA SEHEMU YA SITA

MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. “MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI” Shukrani na sifa zote njema ni milki na stahiki yake Allah Mola Muumba wa mbingu saba…

SOMO LA KUMI NA SABA SEHEMU YA TANO

MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. Atakaswe na adhukuriwe Allah asemaye: “Naye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi kwa haki. Na anapo sema: Kuwa! Basi huwa. Kauli yake ni…

SOMO LA KUMI NA SABA

MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. Sifa zote njema ni zake Mola Muumba wa viumbe vyote ambaye: “…Yeye ndiye Allah mbinguni na ardhini. Anajua ya ndani yenu na ya…

SOMO LA KUMI NA SABA

MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. Ashukuriwe na ahimidiwe Allah ambaye: “Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni ajali, na muda maalumu uko kwake tu. Tena baada ya…

SOMO LA ISHIRINI – MANDHARI NA MUONEKANO WA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI.

Kuhimidiwa na kutakaswa ni kwake Allah, ambaye: “Yeye ndiye wa Mwanzo na ndiye wa Mwisho, naye ndiye wa Dhaahiri na wa Siri, naye ndiye Mjuzi wa kila kitu”. Ewe Mola…

SOMO LA KUMI NA TISA

MANDHARI YA WAKANUSHAJI NA MAKAFIRI. Kila sifa kamali zinamstahikia Allah Mtukufu, aliye sema katika kitabu chake kitukufu: “Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na dini ya haki, ili…

SOMO LA KUMI NA NANE

MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA. “Ametukuka ambaye mkononi mwake umo ufalme wote, na Yeye ni Mwenye uweza juu ya kila kitu. Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni…

SOMO LA KUMI NA SABA

MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA. Mstahiki wa kuhimidiwa na kutukuzwa ni Allah; Mola Muumba wetu, nasi waja wake hatuwezi kumuhimidi na kumtukuza ila kwa kuwezeshwa naye. Ewe Mola…

SOMO LA KUMI NA SITA

MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA Ewe Mola wetu! Ni zako Wewe tu sifa njema zote na shukrani zote. Ni zako Wewe tu sifa njema zote kwa namna inayo…

MANDHARI NA VITISHO VYA SIKU YA KIYAMA.

Kuhimidiwa na kutukuzwa kunamstahikia Allah; Mola Mlezi wa viumbe wote, ambaye ametuneemesha kwa neema ya Imani na Uislamu. Na Rehema na Amani zimuendee Bwana wa ulimwengu; Mtume wetu Muhammad. Na…