NI MFUMO GANI KHASA WA MAISHA (DINI) ANAOUHITAJIA MWANADAMU?

Tumekuishaona kwamba dini ni mfumo Fulani wa maisha unaofuatwa na binadamu. Sasa suala linalojitokeza ni je, ni mfumo upi wa maisha (dini) unaomfaa mwanadamu? Tuanze kulijibu swali hili kwa kuanza…