MTUNGAMANO (UTARATIBU) WA NGUZO HIZI KAMA ZILIVYOTAJWA

Kutungamanisha nguzo za swala ni kuziratibisha kwa utaratibu wake kama zilivyo moja baada ya nyingine kila moja ikachukua nafasi yake bila ya kuitangulia nyingine. Kwa mantiki hii, mwenye kuswali analazimika…