MTUME AWEKEWA VIKWAZO

Makurayshi walipoona na kutambua kuwa njia, mbinu na hila zote walizozitumia ili kupambana, kuzuia na hatimaye kuliua kabisa wimbi la harakati za dawah ya Bwana Mtume zimegonga ukuta, hazikuzaa matunda…