MTUME ATHIBITI MBELE YA ADUI AKIWA NA KUNDI LA MASWAHABA WALIOMUAHIDI KUFUNGAMANA NAE MPAKA KUFA

Ama Mtume wa Allah-Rehema na Amani zimshukie-alisimama imara mbele ya adui akipambana nae mpambano wa kufa na kupona. Akamnyeshea adui mvua ya mishale mpaka ikamuishia na upinde wake ukakatika kutokana…