MTUME AFANYA IBADA KATIKA PANGO LA HIRAA

Mtume wa Mwenyezi Mungu – Rehema na Amani zimshukie – alipokaribia umri wa miaka arobaini alipenda kukaa peke yake faraghani na kujitenga na jamii yake; jamii ya watu wa Makkah.…