MTUME AANZA KUKUTANA NA MAKABILA

Baada ya safari ya Twaif, Bwana  Mtume – Rehema na Amani zimshukie – alirejea Makkah na kuuwahi msimu wa Hijja. Makabila mbalimbali ya waarabu kutoka pande mbalimbali huja Makkah katika…