MINBARI YA RAMADHANI

Hii ni kutokana na mnasaba wa kuingia mwezi mtukufu wa Ramadhani. Minbari ya Ramadhani itakuwa ikikuletea mawaidha yahusiyanayo na funga ya Ramadhani, ili uweze kuijua funga na hatimaye uweze kufunga…