MILA ZINAZOKHALIFIANA NA SHERIA

Mwenyezi Mwenyezi Mungu Mtukufu anatuambia ndani ya Qur-ani Tukufu:   “ENYI MLIOAMINI !INGIENI KATIKA HUKUMU ZA UISLAMU ZOTE, WALA MSIFUATE NYAYO ZA SHETANI, KWA HAKIKA YEYE KWENU NI ADUI DHAHIRI”.…