MASHARTI NA SUNNA ZA IQMA

Sharti za iqaamah ndizo zile zile sharti za adhana, zirejee katika somo la adhana utazikuta. Hakuna sababu wala dharura ya kurudia kuzitaja tena hapa.   SUNA ZA IQAAMAH: Hizi nazo…