MARADHI HATARI YA UKIMWI

  Ukimwi ni maradhi hatari sana yaliyogubika ulimwengu mzima. Maradhi haya nitisho kubwa sana kwa maisha ya binaadamu kwa sababu mpaka sasa mabingwa wa sayansi ya tiba hawajagundua kinga wala…