MAMBO YANAYOSABABISHA JANABA

Janaba husababishwa na mambo mawili yafuatayo :   i. Mwanamume/Mwanamke kutokwa na manii kwa sababu yeyote miongoni mwa sababu zake kama vile kujiotelea usingizini yaani mtu kuota usingizini kuwa anafanya…