MAMBO YALIYO HARAMU KWA MWENYE HEDHI

1.      Kuswali- kwa ushahidi wa hadithi hiyo ya Fatmah Bint Abiy Hubaysh tuliyoitaja hapo katika Istihaadha.   2.   Kusoma Qur-ani na kugusa na kuuchukua msahafu kwa ushahidi tulioutaja katika yakiyo…