MAANA YA DINI

Wanadamu kama viumbe waliotofautiana katika maumbile (sura), lugha, rangi, hali za kimaisha, fikra na kadhalika. Wameielewa “dhana dini” kwa maana mbalimbali. Maana hizi ukizingatia kwa fikra za haraka haraka, fikra…