MAAGANO YA PILI YA AQABAH

Msimu uliofuatia wa Hijjah, Uislamu ulikuwa tayari umeenea kwa kiasi kikubwa katika mji wa Yahrib (Madinah). Katika kundi kubwa la Mahujaji kutoka Yathrib lililowajumuisha pamoja waislamu na mushrikina, walikuwemo waislamu…