KWA NINI DINI? (UMUHIMU WA DINI KATIKA MAISHA YA MWANADAMU)

Ingawa katika ulimwengu huu tuishimo kuna watu wanaoutaka ulimwengu uelewe kuwa mahitaji makuu ya msingi ya mwandamu ni maskani (nyumba), mavazi na chakula. Yaani ili mwanadamu aweze kuishi katika ulimwengu…