KUWA NA AZMA

Chimbuko na msingi wa somo/mada hii ni kauli tukufu ya mwenyezi Mungu Mtukufu ndani ya kitabu chake kitukufu allipomwambia Mtume wake; “… NA UFUNGAPO NIA MTEGEMEE ALLAH (tu ufanye uliloazimia)…