KUSUBIRI NJE YA MLANGO WAKATI BWANA HARUSI ANAPOINGIA NDANI ILI KUJUA KAMA BI. HARUSI NI BIKRA

Athari ya ada hii mbaya bado imesalia katika ndoa za baadhi ya jamii zetu. Bwana harusi anapofunga ndoa na kisha kumchukua mkewe nyumbani kusindikizwa na jamaa hasa wanawake wa pande…