KUPEWA UTUME

Mtume Muhammad – Rehema na Amani zimshukie – alipofikia umri wa ukamilifu, umri ambao akili ya mwanadamu huwa imepevuka na kukomaa, umri wa miaka arobaini. Huu ukawa ndio wakati muafaka…