KUONDOLEWA KWA VIKWAZO NA KUTENGULIWA KWA AZIMIO

Tumetangulia kueleza katika masomo yaliyotangulia kwamba vikwazo vya makurayshi dhidi ya Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshuke – jamaa zake Baniy Haashim na Bariy Mutwalib waumini na wasio waumini…