KUMTOA NJE BI. HARUSI (HADHARANI) NA BI. HARUSI KUVIKWA SHELA

Ndoa ni suala nyeti kabisa katika maisha ya mwanadamu. Unyeti wa suala hili la ndoa unajidhihirisha kutokana na umuhimu wa ndoa katika kuendeleza kizazi cha wanadamu ambalo hili ni tunda…