KUMTEGEMA ALLAH

Muislamu halioni suala la kumtegema Allah katika mambo yake kulli {yote} kama ni wajibu wa kimaumbile tu, bali anaona na kuamini kuwa ni fardhi ya dini na itikadi isiyopambanuka ya…