KUMSALIA MTUME BAADA YA TASHAHADU YA MWISHO

Hii ndio nguzo ya kumi na moja ya swala. Nguzo hii yaani kumswalia Bwana Mtume, huchukua nafasi mara tu bada ya kukamilka kwa tashahudi na kabla ya kutoa salamu. Hapo…